Alhamisi, 20 Julai 2017

SHULE YA SEKONDARI YA MASUKANZI INATAFUTA WALIMU WA MASOMO YA NAFASI ZA KAZI; i. Kiswahili (4) ii. English (2) iii. Biology (3) iv. Hisabati (2) v. Historia (1) vi. Chemistry (2) Tuma maombi yako kwenye e-mail stinhanzi@gmail.com Tuma kama una sifa hizo pamoja na a. CV yako b. Nakala za vyeti vyako c. Barua ya maombi

Jumanne, 18 Julai 2017

NIMEZIPENDA HIZI Kauli 18 za mtu asiye na MALENGO wala UTHUBUTU 1)Sina mtaji 2)Sina Connection 3)Nitaanza rasmi kesho 4)Mimi ni wa hivihivi tu 5)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma 6) Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo walioniangusha/kunitenda/kikwazo 7)Kupata ni majaliwa 8)Usilazimishe mambo 9)Kuna watu special siyo mimi. 10)Sina bahati 11) kupata si uhodari nami nitapata tu. 12) Mimi ni fungu la kukosa tu. 13) muda wangu bado nitapata tu 14) mungu hajapanga hata vidole mkononi havilingani. 15) wapo waliopangiwa sisi wasindikizaji 16) Familia yetu hakuna tajiri nianze mimi? 17) hata wanaotafuta mbona wapo vilevile...fulani namjua mbona yupo tu kama mimi au namzidi. 18)Rais anabana sana USIFUNGAMANE NA MTU WA AINA HII

Matokeo kidato Cha pilibofya hapa

 KUTAZAMA BOFYA HAPA <https://matokeo.necta.go.tz/ftna2020/ftna.htm>